Ahsante sana Mr Kanimbi nitajalibu kufanya hiyvo kwa kupitia ushauli wako.Na nimejaribu kutafuta hiyo mada uliosema nimeikosa. Sasa pamoja na hayo umesema siku zake ni zakawaida je alipo ingia tare 1/11/2012 alichukua siku saba 7 za bleed nanikamtegea tare 13/11/2012 na tarehe 14/11/2012 mbona...
Habari naitwa francis mathias nina mchumba wangu anapenda sana kubemba mimba lakini nashindwa kupangialia tarehe yake ya hatari .Nanimefuatilia mzunguko wake wa hedhi kwa mda miezi mitatu kwa Mfano: aliingia tarehe 2/9/2012 hadi 2/10/2012 nikahesabu nikapata mzunguko wa siku 31 nikaja mwezi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.