Mara nyingi tunaamini wanasiasa wanaweza kutatua matatizo yetu lakini tunasahau ni haohao wanasiasa wanaleta MATATIZO, kwa mfano kwenye kampeni zake aliahidi ,huduma bora za elimu, afya, miundombinu nk kwa kuhama kwake kodi zetu inabidi zitumike kufanya uchaguzi badala kuendelea kuboresha huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.