Recent content by Mtekinolojia

  1. Mtekinolojia

    Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    Inaweza mkubwa. Ila ishauzwa tayari
  2. Mtekinolojia

    Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    Sawa mkubwa, na wewe kauze mil 14
  3. Mtekinolojia

    Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    Siyo umasikini mkubwa. Masikini mwenye mil 14? Maamuzi ya mtu, hata nguo wapo wanaovaa mtumba na wanatoka kijanja kuliko mtu wa pamba za shop. Unaweza ukanunua gari japan ukakuta ni kimeo kuliko ya Tanzania.
  4. Mtekinolojia

    Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    sio 8 mkubwa? maana ist kuagiza japan mpya ni 5m. Based on your assumptions.
  5. Mtekinolojia

    Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    Gari ipo RESERVED untill tomorrow evening.
  6. Mtekinolojia

    Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    Haifiki mkubwa, nimepokea ofa 8 za zaidi ya iyo yako, nikichanganya na hiyo yako you are the lowest bidder 😀. Thanks for your offer anyway!
  7. Mtekinolojia

    Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    Voltz iyo hii apa nauza bei maelewano Toyota Voltz in mint condition for Sale - JamiiForums
  8. Mtekinolojia

    Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    Toyota Voltz in mint condition for Sale - JamiiForums
  9. Mtekinolojia

    Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    Bei maelewano mkubwa. Kunjua mfuko. lete ofa tutaelewana.
  10. Mtekinolojia

    Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    Mkubwa ndio mana ukitaka kununua gari inabidi uende na fundi na pia ufanye driving test. Unakagua gari unarudhika ndioo utoe pesa. Hii gari kwa thamani ya dola kwa sasa bei yake ni 16.5M na unaweza kutoa iyo ela ukaletewa gari kimeo from japan, mi ilishawai nikuta hiyo. Wale jamaa wa inspection...
  11. Mtekinolojia

    Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

    Price: TZS 14,000,000 Toyota VOLTZ impoorted and used for only 13 Months in Tanzania for sale by the owner Facilities and specifications - Km 117,000-Imported with 110,000 KMs (Rarely driven in Tanzania) -New tyres installed Nov 2018 -Elegant music system -Smart radio that support video -Back...
Back
Top Bottom