Recent content by MTANZANIA620

  1. M

    JamiiForums Tanzania Makonda anavyoitangaza Tanzania kupitia watu mashuhuri katika sanaa, michezo na burudani

    Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross na Laporta Rais wa klabu ya FC Barcelona pamoja na wachezaji wake kuitembelea, kuizungumzia na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA

    Matokeo ni makubwa ikiwemo fursa za ajira na kipato kwa watanzania maelfu waliojiajiri na watakaojiajiri katika sekta ya clearing and forwading, usafiri na usafirishaji, logistics nk
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kuweka Mazingira wezeshi kwa Vijana

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kupata elimu, ujuzi, ajira na fursa za kujiajiri ili kutumia uwezo na vipaji vyao katika kuchangia maendeleo na ukuaji wa uchumi wa Zanzibar. Rais...
  4. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka ataka ubunifu vyanzo vipya na uvujaji wa mapato udhibitiwe

    DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA Aagiza Vyanzo Vipya na Avujaji mapato udhibitiwe Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, leo ameongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya Kodi ya Wilaya kilichofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya. Kikao hicho kimejadili...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA

    SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA Kuna uwekezaji ambao unaonekana kwenye majengo, magati, reli na mitambo. Lakini kuna uwekezaji mwingine ambao thamani yake kubwa haionekani mara moja kwa macho, ni uwekezaji unaobadilisha namna nchi inavyounganishwa na biashara ya kikanda, namna mizigo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowekeza uvuvi wa bahari kuu

    Mkataba wa Ujenzi wa Meli Tatu za Bahari Kuu: Tanzania Yafungua Mlango Mpya wa Uchumi wa Buluu na Ajira kwa Vijana Na GULATONE MASIGA Bahari ya Tanzania ni rasilimali kubwa ya kiuchumi ambayo kwa muda mrefu imekuwa na uwezo mkubwa kuliko kiwango ambacho Taifa limeweza kuutumia. Uamuzi wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Turahisishe maisha: Stendi ya Magufuli isiwe mwisho wa ubunifu wa usafiri Dar es salaam

    TURAHISISHE MAISHA: STENDI YA MAGUFULI ISIWE MWISHO WA UBUNIFU WA USAFIRI DAR ES SALAAM Na GULATONE MASIGA Uamuzi wa Serikali wa kuimarisha matumizi ya Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli iliyopo Mbezi kwa shughuli za kupakia na kushusha abiria ni sehemu ya juhudi za kupanga upya mfumo wa usafiri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara ya kikazi Nyumbu, aitaka itumike kama nguzo ya sayansi na teknolojia ya ulinzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amefanya ziara ya kikazi ya siku moja katika Shirika la Tanzania Automotive Technology Centre (TATC), maarufu kama NYUMBU, lililopo Kibaha, Mkoa wa Pwani, kwa lengo la kujionea utendaji wa shirika hilo na kutathmini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji, wataalamu na madiwani Halmashauri ya Msalala wapongezwa

    Hongera Bi Rose Manumba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, madiwani na wataalamu wote kwa uongozi wenye matokeo unaotanguliza maslahi ya wananchi. Kupitia usimamizi madhubuti wa ukusanyaji wa mapato, kuelekeza rasilimali nyingi kwenye miradi ya maendeleo inayogusa maisha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yanayoonekana na simulizi za kisiasa: Kwanini wapo wasiotaka kuamini?

    Na GULATONE MASIGA Katika siasa, mara nyingi ushindani hauhusu tu nani anajenga zaidi, bali pia nani anafanikiwa kujenga simulizi linaloaminika zaidi na wananchi. Ndiyo maana wakati mwingine hata pale miradi mikubwa ya maendeleo inapotekelezwa, bado kunakuwa na sehemu ya jamii inayobaki na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Amani Si Urithi Wa Kudumu: Tujifunze Kwa Yaliyotokea Na Tuitumie Mitandao Ya Kijamii Kwa Maendeleo

    Na GULATONE MASIGA Katika zama za teknolojia na mawasiliano ya kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Kupitia majukwaa mbalimbali, wananchi wanapata habari, wanabadilishana mawazo, wanafanya biashara, wanajifunza na hata kushiriki katika mijadala ya...
Back
Top Bottom