Recent content by Mtani mtata

  1. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Unasumbuliwa na mfumo wa maji katika nyumba yako? Tuite nasi tutaitikia wito

    Mikoani hamfiki?
  2. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Unasumbuliwa na mfumo wa maji katika nyumba yako? Tuite nasi tutaitikia wito

    Mnapatikana wapi mkuu?
  3. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Picha: Diwani wa Tarime aliyehamia CCM apelekwa Afrika Kusini chini ya ulinzi wa Green Guard kwa mapumziko

    Hii taarifa mbona kama ya uzushi!!! mana huyo baunsa shughuli zake ni za kwenye clubs pale tarime na kwenye mabasi ya kampuni ya kisire..... yani usiku utamkuta pale chris pub akifanya ubaunsa na mchana kama kondakta kwenye mabasi ya kisire yanayotoka tarime kwenda mwanza .... hebu ngoja...
  4. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Wasalaam wakuu, Naomba kuwasilisha kero yangu kwenu huku nikiwa nina imani kabisa itawafikia watu sahihi na kuifanyia kazi. Natambua wazi juhudi zinazofanywa na mheshimiwa raisi katika kupambana na kutatua kero mbali mbali zinazotuhusu sisi wananchi lakini ni wazi kabisa watendaji wake...
  5. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya fedha wa Acacia wajiuzulu

    Makamanda uchwara
  6. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya fedha wa Acacia wajiuzulu

    Hakuna kitu kama hicho, hakuna aliewashawishi wabaki ... wameondolewa na mipango yao mibovu na wamepisha watu wengine wafanye kazi waliyoshindwa.. dua zako za kuku zitakurudia mwenyewe
  7. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya fedha wa Acacia wajiuzulu

    Nasikia wako kwenye payrol yake .... nasikia sikia tu lakin
  8. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya fedha wa Acacia wajiuzulu

    Geleta nae ni kimeo tu.
  9. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya fedha wa Acacia wajiuzulu

    Hayo yametokea wapi!!! tunaongelea mambo ya acacia mkuu na bodi yao acha kuweweseka basi
  10. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya fedha wa Acacia wajiuzulu

    Ila huyu Geleta nae ni kichomi I wish hyo nafasi angepewa mtu mwingine
  11. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Acacia yatangaza kupunguza uzalishaji mgodi wa Bulyanhulu kutokana na zuio la makinikia. Yaunga mkono mazungumzo

    Somesha watoto wako mkuu acha maneno mengi.
  12. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Acacia yatangaza kupunguza uzalishaji mgodi wa Bulyanhulu kutokana na zuio la makinikia. Yaunga mkono mazungumzo

    Kwahyo unataka kusema kwamba tuache ACACIA waendelee kutuibia sababu hakuna mfanyabiashara mkweli duniani!!? Kwa akili ndogo tu hawa jamaa kama waliweza kutudanganya kwamba makinikia hayana faida kwao na leo ndo hayo wanasema tena yanawasababishia hasara basi hawa watu ni hakika wameshatuibia...
  13. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Acacia yatangaza kupunguza uzalishaji mgodi wa Bulyanhulu kutokana na zuio la makinikia. Yaunga mkono mazungumzo

    Swali ninalojiuliza kwa sasa ni kwann hawa acacia wanaendelea tu kutoa memo ambazo ndani yake wanasisitiza kuwa wao hulipa kodi ihali kuna mazungumzo yanaendelea ya kiserikali ..... kwann wasitulie wakasubiri taarifa ya mazungumzo!? kwann wamekuwa watu wa kutumia sana medias kujisafisha wkt...
  14. Mtani mtata

    JamiiForums Tanzania Acacia yatangaza kupunguza uzalishaji mgodi wa Bulyanhulu kutokana na zuio la makinikia. Yaunga mkono mazungumzo

    Ishu ni kwamba katika moja ya taarifa zao walisema makinikia ni asilimia ndogo tu ya sehem wanayopata kama faida sasa leo how comes a part of bussines ambayo faida yake ni ndogo kuliko the main one ina cost ajira ya karibia robo tatu ya wafanyakazi wote!!! afu nasikia pia wanasimamisha na...
Back
Top Bottom