Recent content by Mtanganyika1961

  1. M

    Je, ni sahihi kuwepo kwa vibanda vya kusambaza kondomu karibu na mazingira ya shule za msingi?

    Katika pitapita zangu katika Manispaa ya mji wa Mpanda nimekutana na hiki kibanda cha kusambaza mipira ya watu wazima (Condom) katika uwanja wa Shule ya msingi Kashato. Kwa mtizamo wangu nadhani si sawa na mamlaka zinapaswa kujua kuwa hapo si mahali sahihi. Pamoja na kwamba shule hiyo iko...
Back
Top Bottom