Recent content by Mtambachuo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi huu tutakuwa tunapeana taarifa ya Matukio (Madhara) ya Super Elnino 2026/2027

    Kanda ya Victoria ? ambayo ilisemekana ndio ingeaza kupata Elnino kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi September
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uzi huu tutakuwa tunapeana taarifa ya Matukio (Madhara) ya Super Elnino 2026/2027

    Kuchukua tahadhari sio
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uzi huu tutakuwa tunapeana taarifa ya Matukio (Madhara) ya Super Elnino 2026/2027

    Mitaro maeneo ya Tandale naona ilijaa sana maji
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzi huu tutakuwa tunapeana taarifa ya Matukio (Madhara) ya Super Elnino 2026/2027

    Dar ndio Elnino umeanza jana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu wote maarufu lazima waishi Dar ?

    Dar fursa nyingi na huduma ni nyingi zaidi hivyo huwavutia watu kuja.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Una ruka na mke wa mtu? Kwa hiyo anapenda sana pesa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Sio mae mimi ni mbe. Nilikua nakuambia wewe hivyo kwa sababu ulipendwa na baba yako. Kama vile watoto wa kiume wanapendwa na mama zao wanaitwa mama's boy.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mimi kama atheist 🤔

    Marangu ulisoma level gani ya elimu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijiwe nongwa wameanza, kweli Chivayo amekata au ameingia mitini na Vibunda vya watu?

    Utajiri haujaweza kumuokoa. Wajifunze na wa hapa kwetu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Dah umebaki pekee yako kaka. Ni kweli upendo huwezi kuuficha hata kidogo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Na usimshauri kitu juu ya mwanae huyo hawezi kukuelewa ni hatari sana.
Back
Top Bottom