Samahani naomba kuuliza,
Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote sehemu ya kutolea mkojo inakuwa mbichi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.