Recent content by Mtam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza UYOGA (oyster mushroom)

    Mi ningependa kulima nlisoma sehem kuna kulima kwa maranda mabaki ya mbao ila sjajua unayafanyaje? Msaada wa namna ya kulima uyoga kwa maranda nisaidie
  2. M

    JamiiForums Tanzania soko la mafuta alizeti

    Habari Nina mafuta ya alizet nimelima na kukamua mwenyewe natafuta Mteja au kwa anaejua wapi naeza enda kuwauzia please anisaidie.
  3. M

    JamiiForums Tanzania mteja mafuta alizeti

    Natafuta mteja wa mafuta ya alizeti hayakopacked nimekamua tu na kuchuja.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lifahamu kiundani zao la Nyanya chungu (Ngogwe) na jinsi ya kulilima

    asante naendelea kutafakari,nimeambiwa na mtu aliye lima mwaka jana alitumia laki nne hadi kuvuna,kwa heka 4,so mi ndo natafakari ni zao lipi likalo nipa faida zaidi kwenye ardhi hii ndo nimemaliza chuo najipanga kimaisha naitaji zao ambalo atleast litanipa mazao mengi,na kwasababu ndo naanza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lifahamu kiundani zao la Nyanya chungu (Ngogwe) na jinsi ya kulilima

    je naeza lima nyanyachungu morogoro eneo ambalo wazawa wanalima mahindi tena bila mbolea?kwa msimu huu wanapoanza wao kulima mahindi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lifahamu kiundani zao la Nyanya chungu (Ngogwe) na jinsi ya kulilima

    nashukuru Mungu akubariki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lifahamu kiundani zao la Nyanya chungu (Ngogwe) na jinsi ya kulilima

    ningependa kupata mbegu na mie nilime kwa style hiyo ya kupandia nyumbani badala ya maua,napata wapi mbegu nzuri za nyanya chungu na bilinganya,na maelekezo ya kuztunza hadizkue,na znachukua mda gani kukua hadi mavuno
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni inayo print PVC lables

    njoo lugumi au pm me namba yako tuwasiliane ntakupa bei nzuri,tupo kariakoo mtaa wa aggrey oppozt mkombozi bank
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samaki wa kufuga

    Ntapata wapi vifaranga wa samaki nataka kufuga
Back
Top Bottom