Recent content by MTAKA HABARI

  1. MTAKA HABARI

    Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

    Inasadikika huyu mama mama anaporudi mahakamani anaambiwa amkublie mtalaka mwenzie na wakati hukum haisemi hivyo.na mtuhumiwa amekuwa akimtumia Hakim kama kinga yake.
  2. MTAKA HABARI

    Polisi, msaidieni mama huyu anafanyiwa ukatili na mumewe

    Polisi,wanasheria msaidieni mama huyu asije akauwawa ndio mkaanza kushughulika .
  3. MTAKA HABARI

    Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

    Muda wa kukata rufaa umekwisha kimsingi mwanaume anatumia nguvu kuchukua hata haki aliyopewa na mahakama.
  4. MTAKA HABARI

    Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

    Serikali ingilieni Kati mtuhumiwa sasa anapambana kumnyang'anya mtalaka mwenzie hata viwanja alivyopewa .na mtuhumiwa anajigamba kumuhonga hakim.
  5. MTAKA HABARI

    Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

    Naomba nianze kwa kusema mahakama zetu kuna wakati zinajishushia heshima kwa kujitakiaa Mh Rajabu kuna mtu uliamua kesi yake ya ndoa ambaye anafahamika kwa jina la, mwanamke huyu ameendelea kunyanyasika sana na amekuwa akikufuata mara nyingi lakini inaonekana aliekuwa mume wake ANAJIGAMBA...
  6. MTAKA HABARI

    Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

    Kwa mujibu wa taarifa ni mwanamke,sababu ni kwa kuwa jamaaa kaitelekeza familia na kuhamia kwa mwanamke mwingine
Back
Top Bottom