Recent content by mtahengerwa

  1. mtahengerwa

    Rais Magufuli huwezi kupinga maamuzi ya Watanzania

    Kwa kuwa ndio maoni/ matakwa ya watanzania walio wengi hapakuwa na tatizo
  2. mtahengerwa

    Rais Magufuli huwezi kupinga maamuzi ya Watanzania

    Hivi karibuni tulimsikia katibu wa itikadi na uenezi ndugu polepole akisema kuwa Rais Magufuli hafurahishwi wala hapendezwi na mjadala unaoendelea wa watanzania kutaka kuongeza muda wa urais. Nataka nimkumbushe jambo moja rais wangu kuwa katiba huwa ni maamuzi ya watu/ watanzania sio maamuzi...
  3. mtahengerwa

    Yanayojiri Uchaguzi mdogo Singida,Longido na Songea Mjini

    Maelfiu ya wakazi wa jiji la Arusha Kata ya Kimandolu wamejitokeza kupiga kura kumchagua diwani wa Kata hiyo baada ya diwani wa kata hiyo kupitia chadema kuhama na kwenda ccm baada ya kuridhishwa na utendaji wa Rais John Pombe Magufuli.
  4. mtahengerwa

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Utambue kuwa uweza wa baraza la madiwani/halmashauri upo ltd kwa baadhi ya mambo, hupanga kutokana na mapato ya ndani wanayokusanya mambo mengine ni hisani ya seriksli kuu
  5. mtahengerwa

  6. mtahengerwa

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Kila kitu kina sheria yake na utaratibu wake, kwa hili la lissu tunasubiri NEC itangaze tarehe ya uchaguzi
  7. mtahengerwa

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Wananchi walimtuma akawapelekee shida zao bungeni kama kuna baya limetokea basi achaguliwe mwingine ili awapambanie maendeleo , na ikumbukwe mimi au lissu hatutaishi milele, hivyo tusiwe na jazba, Hapa kinachoongelewa ni kuangalia kundi kubwa la wanasingida Mashariki wanaohitaji maendeleo hasa...
  8. mtahengerwa

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Kama ndo hivyo kwanini kuwe na mbunge
  9. mtahengerwa

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Usihukumu kwa huruma hukumu kama sheria inavyotaka, kuhusu mke wangu, mimi ni mkatoliki sheria yetu inasema ndoa itatenganishwa na kifo tu, kuhusu hili la tundu lissu sheria ipo wazi kabla hata sijazaliwa
  10. mtahengerwa

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Kutukuza lugha ya watu ni utumwa, Lugha ya watanzania ni Kiswahili mbona mataifa makubwa kama china hutumia lugha yao kwenye mikutano ya kimataifa, na kiswahili ni moja kati ya lugha kuu 6 duniani, na kwenye vikao vya UN unaweza kuongea kiswahili kikatafasiriwa kwa lugha tofauti tofauti kwa...
  11. mtahengerwa

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Tunaomba mtu wa kutuwakilisha bungeni na si vinginevyo, tunahitaji na sisi maendeleo hatuna mtu wa kutusemea bungeni, by the way tunamuombea mbunge wetu apone
  12. mtahengerwa

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Sisi wananchi wa Singida Mashariki tunaomba jimbo litangazwe uchaguzi kwa kuwa hatuna Mbunge anayewakilisha jimbo letu. Mbunge tuliyekuwa nae ni mgonjwa zaidi ya miezi 4 na sheria ipo wazi kama mbunge atakuwa mgonjwa kiasi cha kushindwa kuwahudumia wananchi wake jimbo litatangazwa kwa ajili...
  13. mtahengerwa

    Godless lema amewafundisha ujasiri watu wa arusha ccm imewaletea maendeleo.

    Alichokipanda lema ndicho alichokivuna kata ya Muriet, wananchi wamesema ujasiri aliowafundisha hauwasaidii katika kujiletea maendeleo yao, salama za 2020
Back
Top Bottom