Kwa Muda ambao nimemfahamu Maswi sio Mtu wa Kuyumbishwa na Pia anaonekana ana maslahi Mapana ya Taifa Moyoni hata kama ana mapungufu yatakuwa ya Kibinadamu.
Hahaahah, ni kweli ni mzuri. je ulimuandalia mazingira? sio watu wengine wapigie sisi emu halafu wewe upendekeze mtu wako. je waliompigia wakiacha nao kuipigia kwa sababu watu wao hawakuchaguliwa. nyumba ni msingi ndugu yangu. ninaamini siasa iko ivyo dunia nzima, ila ninamkubali sana Kileo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.