Ni sahihi kabisa, kipindi cha bunge la katiba alikuwa moto sana kutetea katiba na kuipinga serekali, baada ya kuingizwa kwenye mfumo na JPM akawa kimya na kutetea yaliyokuwa yanaendelea kipindi cha Jiwe, kutolewa kwenye mfumo ndio anaanza kelele tena mi namuona ni mchumia tumbo tu hana lolote...
Kwani polepole hakuwai kuwepo kwenye serekali!! Je alitumikaje.!!! Mbona alishiriki kufanya maovu katika utawala uliopita na hakukemea. Nadhani hata yeye ana shida fulani kama sio uchu wa .madaraka.
Kwani kwa sasa kuna waziri wa mambo ya ndani!!! Si Bunge naa baraza la mawazori limeshavunjwq au mimi nsio sielewi. Uchaguzi ukipita nsio Rais atachagua waziri.mwinfine.
Mzee Mwinyi alikuwa ni muislam , na Rais aliyebaki hai ambaye hayuko madarakani ni mmoja tu Mh Jakaya. Sioni kama kuna hoja ya msingi hapa. Halafu fanya utafiti watu wa pwani wanaishi muda mrefu sana kuliko watu wa Bara. Angalia mzee wa pwani anaweza kuwa mtaani anapambana kuuza hata kahawa...
Chadema mnacheza ngoma ya polepole hamjashtuka tu, siku moja kabla Lisu kwenda mahaka.ni polepole anaongea anawatoa kwenye reli mnabaki mnamuongelea yeye mnamsahau mwenyekiti wenu kweli nyinyi manyumbu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.