Huyo bro alikua ni Jambazi hatari apa Arusha hakuna mtu hamfahamu kateka sana na kuua watu kapora sana na kubaka wake za watu, uyo alikuwa na mishe izo toka enzi za Justin Nyari hatimae zamu yake nae imefika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.