Recent content by MsosaJr

  1. MsosaJr

    Tabia za mke wa jamaa zinamchanganya

    Kuna watu akili zao wanazijua wenyewe humu 😂 Yani hakuna ushauri humu ni maneno ya kubeza tu before nilijuaga hii platform ipo smart kumbe ni kama Facebook tu siku hizi
  2. MsosaJr

    Tabia za mke wa jamaa zinamchanganya

    😂 😂 Nikalambwe kwapa Mzee? Hahahahah kizaazaa hicho
  3. MsosaJr

    Tabia za mke wa jamaa zinamchanganya

    Nafanyaje Sasa na hayo ndio maelezo yake manaake sina muda wa kwenda kukaa nimfatilie Kila kitu
  4. MsosaJr

    Tabia za mke wa jamaa zinamchanganya

    😂 😂 Yani akikuelezea inabidi ujizuie tu kucheka
  5. MsosaJr

    Tabia za mke wa jamaa zinamchanganya

    Mwanamke ananuna asipofanyiwa anasema ndio alivyofundishwa huko kwenye ngoma zao
  6. MsosaJr

    Tabia za mke wa jamaa zinamchanganya

    Wanawake wa pwani Wana mambo
Back
Top Bottom