Recent content by msolid12

  1. msolid12

    Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

    nashauri tu kama una elimu au ujuzi fulani unaotambulika maybe diploma au degree ya kitu fulani komaa tu mtaani tafuta visehem ujishikize muda huo unausoma mtaa.. kujitolea nikama kufata odds 15 za ugenini kwa laki mbili.. vijana wengi bado wanaamini ukienda huko una asilimia kubwa kuajiriwa...
  2. msolid12

    Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

    Watu hawawezi kuelewa ila akimaliza mkataba hataamini.. wale madogo walioandamana kipindi kile ndio picha ya uhalisia wa maumivu utayopata baada ya kukosa ulichokitarajia kila la kheri vijana
  3. msolid12

    Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

    Vijana wengi hua wanazani ukishaenda jkt tu basi una nafasi kubwa ya kupata ajira za majeshi bila kujua kwamba inahitajika nguvu kubwa sana nyuma yako otherwise uwe na upepo binafsi.. ndiomana nikasema kama una mishe ya kukuingizia kipato ukaishi vizuri baki tu mtaani
  4. msolid12

    Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

    Hii ni kweri japo nashauri tu kama mtu unamchongo wako mtaani endelea tu kupambana usiende JKT maan kule unakaa tu kama mskule hujui ni lini watakuja kufanya usaili upo tu na kama wakija hujui kama utapata japo umewalimia mashamba yao USIENDE jkt kama huna mtu mkubwa nyuma yako anaekushika mkono...
  5. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kilichoendelea mpaka mkaona simu aziiti japo kuna walioenda kwa maelekezo na ni wachache..baada ya maombi kutumwa MI walifatilia na kugundua kwamba nafasi za uraiani zimeuzwa kwa asilimia kubwa mkubwa alikua anapeleka jina la kijana akidai ni ndugu kumbe kapiwa hela ili kuepusha ufanisi wa kazi...
  6. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kuna miaka mfano 2014 vyeti vya la saba havikutoka sijui kama wanakubali barua ya utambulisho kutoka shule uliosoma
  7. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ndugu zangu Izi issue za ajira hua ni ngumu sana atakama una mbanga wa uhakika usijipe asilimia zote maana ata wao hua wanafata utaratibu muda mwingine hawezi tu akaenda ofisi Ya CP na jina lako akampa kwamba dogo apige kozi lazima ajue namna ya kuongea nae( utaratibu). Ndiomana kila mbuyu una...
  8. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hii issue ya kupiga simu imekaa kimkakati sana ukitulia utaelewa ni njia yakupata gape la kuingiza ndugu zao kwanini usitoe pdf kila mtu aone kama taasisi zingine zinavofanya
  9. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Anaekupa update anasema adi saivi wameripoti wangapi kwa makadilio na wamelipoti oljoro au makutopora?
  10. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Oya ngoma inaenda kimya kimya usitegemee simu sana shughulika na mbanga
  11. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ulichokiandika hakina tofauti na nilichosema
  12. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mimi mbanga zangu zipo tatu kwakua hazipokei simu nimeunga group la whatsapp mbanga tatu na mimi mana kumcheki mmoja mmoja jau😂😂
  13. msolid12

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    ishu anafahamiana na nani ilo ndio la muhimu kaka usimdharau
Back
Top Bottom