Mtu na Mkewe wanagombana chumbani,ghafla ugomvi unakuwa mkubwa na mke anaamua kukusanya
vitu vyake kwa lengo la kuondoka,Mume anashangaa- anamuuliza,Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo
anajibu Nakwenda kwa Mama yangu.Mume naye akaanza kukusanya nguo zake na kuweka kwenye mabegi yake...