Recent content by Mshua45

  1. Mshua45

    JamiiForums Tanzania Ajira za JWTZ waliotuma maombi vipi, hawajaita bado au tayari wameshawaita watu wao?

    Lengo la uzi huu nikutaka kujua kama walioomba nafasi JWTZ, wameshaitwa kwenye usaili au bado maana, kila nikitembelea tovuti zao hakuna tamko lolote, au ndio zile za kupeana wameshaita watu wao maana hakuna uvumi wowote, ni kuhusu hizi ajira zao, mwenye kujua atusanue basi tuendelee kusubiria...
Back
Top Bottom