Recent content by mshauri

  1. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mimi naihitaji hao kuku nitawapataje
  2. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante kwa msada wako nitafanyia kazi kuanzia sasa ubarikiwe sana
  3. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kinga inaitwaje nahiyo ya mdondo inaitwaje nifahamishe vizuri ili nielewe asante kwa msada wako
  4. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nilikuwa na vifaranga 25 vina week 2 vimeshakufa 7 vimebaki 18 nifanyeje ili waendele kuishi nipate faida
  5. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mimi napenda sana kufuga bata mzinga naomba unipe mwongozo ili niweze kufuga bata hao
  6. M

    Kuku Chotara wa kufuga wanapatikana

    Nimeshotowa aina ya chotara pamoja na bei zake angalia ujumbe wa nyuma utaona
  7. M

    Kuku Chotara wa kufuga wanapatikana

    Vifaranga vidogo kwa sasa hivi sina
  8. M

    Kuku Chotara wa kufuga wanapatikana

    Aina ya chotara(1)rhode island red.(2)light sussex...na bei miezi mitano12000/=,miezi minne 10000/=,miezi mitatu 8500/=..
  9. M

    Kuku Chotara wa kufuga wanapatikana

    Nauza kuku chotara wa miezi mitatu mpaka mitano..wanapatikana mbezi msumi.
  10. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mimi ninao kuku chotala wa miezi 3 na 4 kuku bora wanatoa vifaranga vizuri wapo dsm mbezi ya kimara
  11. M

    Kuku Chotara wa kufuga wanapatikana

    Kuku wa miezi 5 sh 12000/= wamiezi 4 sh10000/= na wamiezi 3 sh 8500/=
  12. M

    Kuku Chotara wa kufuga wanapatikana

    Biashara ya kuku chotara wakufuga wanapatikana wa miezi 2 mpaka 5.wako mbezi msumi/msakuzi.
Back
Top Bottom