Recent content by Mshamba J

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa

    Nyumba ya vyumba vitatu,sebule ya kupumzikia,sebule ya kulia chakula,jiko,choo,bafu na store inauzwa kimara mwisho - ghorofani,njia ya kwenda bonyokwa,jirani na makaburi. bei ni 35,000,000. Kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi 0755 198216,0717 640315, 0759 763487, 0755 310028.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Habari GTs

    Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa JF na kusema ukweli JF imenifundisha mambo mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu. Baaada ya kuwa kama msomaji tu wa JF kwa kipindi kirefu,sasa wana JF nimeona ni vyema kama nami nikawa member ili niweze kuchangia hapa jukwaani. Nawashukuru sana wana JF wote.
Back
Top Bottom