Recent content by Msemakweli TZ

  1. M

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Yule mwanamama alikuwa ndio defacto CEO 1. Aliweza kuweka ndugu zake katika nafasi nzito nzito tuu na hata alidiriki kutaka mdogo wake wa kuzaliwa asiye na vyeti kuwa CEO kwa kumfitini ndugu mmoja aliyekuwa anaandaliwa na watasha kuongoza shirika. 2. Kampuni zote zilizokuwa na mikataba na...
  2. M

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunachulia kwa uzito tuhuma zilizotolewa na kuelekezwa kwa baadhi ya wafanyakazi wetu kwani zina lengo zuri la kuifanya benki kuendelea kuwa namba moja kwenye kusimamia maadili. Ndugu wana jukwaa, NMB tunajipambanua kwa kusimamia maadili mojawapo ikiwa ni uaminifu kwa...
  3. M

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Balozi (Ambassador_:) Hakuna kitu kibaya kama kuficha ukweli! inakuwaje mtu asimamishwe kazi! maana yake kuna tuhuma bila ya kificho! pili umri wa kustaafu upo wazi huenda kwa hiari ni 55 au lazima ni 60 sasa yeye alitimiza ipi kati ya hiyo!
  4. M

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hongera tena kwa Uongozi wa Taasisi hii kwa kufanya makuu, sasa hiyo nafasi moja waigawa kutengeneza nafasi mbili yaani Mkuu wa Idara ya Sheria & Katibu wa Benki na hizo fursa zimetangazwa ndani ya Taasisi wasiwasi wangu nikiwa mdau mkubwa ni: 1. Wajaribu kuficha ili umma na wateja wasitambue...
  5. M

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
  6. M

    Pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB plc tawi la Tanzania

Back
Top Bottom