Recent content by Msemakweli Tupu

  1. M

    Fedheha kubwa kwa wizara ya elimu.

    Cha kushangaza ndugu watanzania hamuwezi kuami kwamba serikali inayoongozwa na CCM ina shule moja tu ya kufundishia wanafunzi wenye ulemavu wa kusika, iitwayo kigwe iliyoko wilaya ya bahi mkoa wa Dodoma. shule nyingine mnazozijua za walemavu zina mikono ya wafadhili wa nje na nyingi zinaongozwa...
  2. M

    Bofya hapa uboreshe Elimu Tanzania

    UONGOZI NI SAWA NA UDEREVA UNAPOENDESHA BASI LA ABIRIA HAINA MAANA WE NDIO UNAJUA KULIKO WOTE ULIOWAPAKIA KATIKA BASI LAKO. BALI KWAKUWA USKANI NI MMOJA NDO MAANA WEWE UMEPEWA DHAMANA YA KULIONGOZA BASI HILO, HIVYO FIKRA ZA SERIKALI YETU TUKUFU YA CCM INAVYODHANI ATI KIONGOZI NDIYE ANAJUA...
  3. M

    Maajabu ya Kampala International University

    Hayo ndo mambo yanayo turudisha nyuma.
  4. M

    Kwa walimu wote.

    sasa mwaka unataka kuisha tangu nilipo anza kuidai serikali ya magamba mishahara yangu ambayo kwa uzembe wa viongozi waliopewa dhamana ya kutumikia ilisimamishwa kimakosa, nawashauri vijana walionje ya kadahii kuuliza maswahibu yanayo tukuma walimu kabala hawajaigia kwenye kada hii na kujuta milele.
  5. M

    Wanafunzi udom tunakufa tunaisha kwa njaa.

    poleni sana wahanga wa migomo lakini vumilieni na mkumbuke haki haiobwi hudaiwa fanyeni mkakati wa kuidai.
  6. M

    kupuuzwa kwa elimu ndio chanzo cha matatizo ya taifa hili

    wakati nchi nyingine zinawekeza kwenye elimu nchi hii inawekeza kwenye ufisadi na siasa chafu, tusubiri anguko kubwa kama si kufutika kwa tifa hili katika ramani ya dunia, elimu nndio mstakabali wa taifa lolote ulimwenguni, angalia miaka 51 ya uhuru bado kuna mwalimu anaidai serikali mishahara...
  7. M

    Walimu wa sec newala walipwe mishara yao.

    Nakuja kwenu wadau wa elimu katika kuweka wazi swala hili la aibu na ajabu kabisa. mwanzoni mwa mwaka huu kulikua na zoezi la ukaguzi wa watumishi zoezi ambalo liligusa pia kada ya elimu, katika wilaya ya newala zoezi hili liliacha majeraha kwa baadhi ya walimu kwani walikatiwa mishahara yao ya...
Back
Top Bottom