Recent content by Msemaji wa Familia

  1. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Sanga: Polepole amechanganyikiwa

    Nadhani Sanga ndo kachanganyikiwa, kiasi hata kumuelewa HPP ni ngumu. Aendelee kuimba mama anaupiga mwingi tu. Ndo anachoweza kwenye Akili zake, mengine awaachie wenye uwezo wanamuelewa Balozi vizuri, Sanga hata darasani ilikuwa vigumu kuwaelewa walimu wake tangia akiwa vidudu.
  2. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi kama kajichanganya vile , this goverment will collapse in 3 - 4 years

    Asha was a Msoga hand picking, this is fact. She has lost all her respect as an Intellectual and International figure who served to the second highest position as an Assistant Secretary General of the UN Body.
  3. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi kama kajichanganya vile , this goverment will collapse in 3 - 4 years

    You are right, he knows his Party Politics well, and with his experience in Government, I think he can handle the position well, but only if the Msoga genge doesnt interfere them .
  4. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    Kumbe umetambua kuwa anapitiliza Kiwango Cha Binadamu- umeshau , Judge Werema yeye alishamuona siku nyingi kwamba huyu si Binadamu ! Rejea Ansadi za Bunge la 10
  5. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    Nimemuelewa, Maliasili ni muhimu zaidi katika kutengeneza uchumi wa Mataifa , na Mataifa meni yaliyoendelea na kuwa tajiri ni yale yaliyokuwa na Maliasili zao zilizotumika vizuri kuboresha maisha ya watu wake ikiwemo elimu bora ( Rasilimali watu) ambao walikuja pia kuchangia katika kukuza...
  6. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    So Maliasili (Natural Resources) is an important factor in creating the Wealth of the Nation, only when you have the right Leaders to manage and utilize it properly, without putting their stomachs first, before the interest of the Nationa.
  7. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    Kafulila anatetea kitumbua chake hizo zote ni porojo which he tries to support with unfounded data. Asidgani sote ni mbumbu, Huyo mzee kijana ana shida , Alishakuwa irelevant mother kamuokoa, hana budi kupamba serikali yake.
  8. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    Hajui mambo ila kwa wasiojua watumuona hivyo. Ulizia Judge Wereme ( RIP) !
  9. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    Pia huyo Muha asitudanganye, Utajiri wa Nchi Tajiri kama UAE, SAUDIA, OMAN ( kwa Wajomba), Kuwait, LIbya na Iraq( kabla ya kuharibiwa na Uongozi Mbaya wa Nchi zao), Rusia, Norway etc, kwa Asilimia zaidi ya 90 umetokana na uwepo wa Rasilimali ( Mali Asili) walizlokuwa nazo nchini mwao. Hata nchi...
  10. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Kama serikali ya Cuba imeweka Ruzuku au pia kutoweka Kodi lukuki umiza kama za kwetu huku, why not selling to consumers at that USD 1 ? Lakini pia kabla ya kumpinga na kumushambulia aliyetoa hizo bei za TZS 2,000 /= @ Mtungi, mlitakiwa pia kufahamu kuwa ni Mtungi wa aina gani na wa Uzito gani...
  11. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watumishi wa Umma wanakosa uzalendo, unateua mtu anakwenda kupiga picha nyaraka za siri na kusambaza

    Mbona Nape naye aliamua Kutubu dhambi hadharani, naye huenda ndo anakoelekea huko muda si Mrefu. Sisi kwetu Mtu akitubu husamehewa dhambi zake , Naye tutamsamehe akinena ukweli hata kama ni kwa bahati mbaya kwa kueteleza kwa ulimi.
  12. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watumishi wa Umma wanakosa uzalendo, unateua mtu anakwenda kupiga picha nyaraka za siri na kusambaza

    Hajui kwamba bado kuna wazalendo wachache Ndani ya Utumishi wa umma wenye Mapenzi na Nchi yao. Yeye alidhania ukishateuliwa basi unakuwa sehemu ya Mtandao wa kuwezesha shughuli za akina SETH na Raosttamu. Hapana, mauzo ya Bandari zetu kwa Mikataba ya Siri ambayo ilijulikana kwa bahati mbaya,
  13. Msemaji wa Familia

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi kama kajichanganya vile , this goverment will collapse in 3 - 4 years

    It looks like the Pair wont match well, Najua mmoja ni Mzalendo na Mtu makini mwenye msimamo kwenye masuala muhimu, ila the other partner is the Opposite, Hapo ndo Kazi itakapokuja kuonekana namna ya kucompromise ili Train iendelee na safari hadi Mwisho wa Reli kule Station No. 2030
Back
Top Bottom