Fundi Mchundo ama kweli umeonyesha hekima na intellectual maturity ya hali ya juu kwenye michango yako kwenye huu mjadala. Tofauti na wewe kabisa, huyo jamaa unayelumbana naye (anayejiita "Field Marshall ES") ni mchochezi na mshabiki asiye na busara hata kidogo. Nimemfuatilia sana anayoandika...
Kwa nini uandike maneno yote hayo kama siyo kutaka kupumbaza watu na maneno mengi yasiyojibu hoja na kukwepa maswali ulioulizwa? GT kaweka hoja wazi na kauliza maswali straightforward: iweje wachangiaji watatu wazima walioonyesha kuwa critical dhidi yako wafungiwe? Tuonyeshe ni matusi gani hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.