Recent content by Msanifu Kihiyo4

  1. M

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Kati ya hao kuna ambao hawatareport… kuna wengine watatoroka wengine unfit wengine kufukuzwa…. So lazma watakuwa na majina reserve cha msingi kuendelea kuomba Mungu kama umefanya Interview naamini lolote linaweza tokea… Hakikisha tu simu yako ipo hewan mda wowote .. Hv vitu u never know
  2. M

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Hongera sana … Kakazee .. Kajiandae kujenga lakin pia sali sana mpaka kiapo..
  3. M

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Back
Top Bottom