Recent content by MSANGI AJ

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na ajira za walim 2013

    Serikali imezoea kuwahadaa wananchi na ndio maana Mtwara wameamua kuandamana hata kumwaga damu lakini haki yao waipate.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Walimu jf nisaidieni mwenzenu!

    mara tu baada ya matokeo ya form six na una aply kwa katibu mkuu.Kwa sasa gharama ya ada ni laki mbili kwa mwaka na kunakua na michango mingine midogomidogo inayoweza kufika laki hadi laki na nusu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu kutangazwa leo.

    Bado tu hawajatangaza?mbona wanatuboa sana...wanafanya ufisadi gani hadi iwe ina suasua?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu kutangazwa leo.

    jipe moyo ndugu watatoa leo kama si kesho Yona
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu kutangazwa leo.

    Itakua vizuri kwani watu wamesubiri hadi kukata tamaa.AHSANTE KWA TAARIFA KAMA NI KWELI....!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli Wizara Haijaweka majina ya walioajiriwa Kwa Mtandao?

    kweli wiki hii watatoa post,
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    unafundisha sec au primary?
Back
Top Bottom