asante wng,bt umesema ipi kati yaizi:easy wax,hair removal,vett au iyocream?nisaidie jinakamili.bt iyo vett nilinunua ikanishinda au nilikosea matumizi,nisaidie plz.
Heri ya mwaka mpya wapendwa. Napenda kuwakaribisha kwenye harusi yangu kiroho safi, ifikapo tarehe tajwa hapo. Itafanyika Mwanza ukumbi wa bwalo la jeshi. Karibuni sana.
ntra uterine Contraceptive device) hii inaweza kuzuia mimba mpaka miaka kumi...NA Hakikisha unafanya tendo la ndoa frequently na kwa kutumia timing za calendar...
Ikipita 12month hautumii contraception,tendo la ndoa unafanya frequently na mwenza wako basi hapo tutasema una tatizo au mwenza wako...
habari ya mapumziko wataalam.mimi natakakujua kuhusu infazone,nime meza leo namalizi cha 5,je nitege mee kushika mimba lini?
2:naona majimaji lakini yananukia vidonge,
je?nikawaida kwakua nimemeza iyodawa?leo siku ya 10 tangu nilipoingia mwezini.
ni.karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.