Recent content by msalala kwetu

  1. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Lengo la kuleta mwanamke mwingine ndani ni kwa kuwa alikataa kuondoka, ndipo nikaona labda nimletee mwanamke ndani ataondoka na si vinginevyo
  2. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Mimi nafikiri ombi lako ulifanyie mabadiliko kidogo, lisomeke hivi Ee mungu niumbie moyo safi, niweze kuwa mke mwema, mwaminifu kwa mme wangu, mvumilivu katika hali zote, nisishawishike na aina yoyote ile ya tamaa kiasi cha kumsaliti mme wangu Nidumu katika imani siku zote In jesus name amen...
  3. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Chief, am sure you are not updated, hii thread ilishavuka hatua hiyo kitambo, nakusihi sasa hivi ujaribu kupitia tu mjadala kati yangu na wachangiaji wengine ili uwe current
  4. M

  5. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Mawazo yako yamepokelewa kwa moyo mmoja, watoto sasa ndio priority kubwa katika sakata hili, tunajaribu sasa kufanya damage control Mwisho ningependa nikuulize kitu Huyu mwanamke kukatalia kwangu kwa kipindi chote hicho, nini kimemsukuma? Lengo ni mali? Lakini kama ni mali mbona huko nyuma...
  6. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Bado mnahangaika na hili jambo wakuu? Hili lilishamalizika, hivi navyozungumza leo nimeamkia mahala pengine, ndio nimehama rasmi na kufunga ukurasa wa hilo suala, in fact ndoa ilifariki tangu 2012, kwa kua alikatalia nyumbani kwangu ikaonekana kama bado ipo kumbe ilikufa, sasa leo nimefunga...
  7. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Maneno yangu kwamba hujakua yalitokana na comment yako Umetamka hivi, ""utamuachaje rafiki aje kwako inaonekana hujiamini ""Umeshindwa kumcontrol mke wako Nimenukuu kauli zako mbili hapo juu ndipo nikafika hatua ya kuamini ww ni mdogo Acha nikusahihishe mkuu, Ndugu zako na marafiki zako...
  8. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Wewe bado ni mtoto mdogo, nimegundua hivyo kutokana na uliyoyaandika, haya hayawezi kuandikwa na mtu mkomavu katika maisha mwenye familia, hivyo ni kwa muktadha huo wa akili ya ujana nimekusamehe, Utakapokua mtu mzima kiakili utaelewa haya tunayozungumza hapa
  9. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Naomba uirudie kuisoma kwa mara ya pili comment ya huyu unae mnukuu Anadai alisalitiwa, akasamehe, lakini hampendi tena mkewe, hampi msaada wowote, hata matumizi ya ndani hampi, ni yy na watoto wake tu, anadai mkewe kachoka ile mbaya, Nadhani unaweza kuiona jela anayoishi huyu uliemnukuu, in...
  10. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Ujinga ni kuendelea kukaa na mzinzi, ni kichekesho cha aina yake kuishi na mzinzi kwa kuwa ukichukua mwingine atafanya hivyo pia, kwa hiyo wanawake wote tanzania ni wazinzi? Kwamba tuache kuoga maana kesho kwa vyovyote vile tutachafuka tena, kama unazungumzia msamaha ww zungumzia msamaha kama...
  11. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Wanaishi kwa furaha na amani sana
  12. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    lengo halikua kumlipizia kisasi, lengo ni kuachana nae, na hilo lilifanyika, there have been any window for forgiveness, it is not there, it will never be there
  13. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Umesema maneno mazuri, nipo njiani kuondoka hapo kwenda kuanza maisha mapya kwingine, in less than a week, hivyo usihofu hakuna madhara tena
  14. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Kwani what difference does it make? Muwe waelewa huyo sio mke wangu since 2012, so sina tatizo akitembea na yoyote yule, angekua mke wangu ningekaa tangu 2012 bila kutembea nae? Sasa hivi anaweza kumchukua yoyote yule hata ww, sasa hivi ni house mate sio mke tena Mm nna mke wangu mwingine sasa...
Back
Top Bottom