Recent content by Msal

  1. Msal

    GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally ndani ya Dakika 45 leo Septemba 14

    Zile kura wanazopata CCM zinapigwa na wanajeshi? Acha kujidanganya, yaani mgombea wenu anasimama jukwaani anatoa somo la sheria kama lecturer wa Mzumbe halafu utegemee atapata kura? Oct 28 tutawaonesha tunachokitaka wananchi
  2. Msal

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Kazi ya kutoboa tunawaachia nyie, CCM kazi yetu ni kushinda uchaguzi tu basi.... Dr Mwinyi ikulu
  3. Msal

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Wazanzibar tumejiandaa kushangilia ushindi wa Dr. Mwinyi, Maalim Seif siyo chaguo sahihi kwa siasa za sasa za visiwani
  4. Msal

    Gazeti la MIZANI na uchochezi dhidi ya Rais, Waziri Nape lifute hili gazeti

    Kwanini mnaongelea udini tu bila kutoa suluhisho? Nachokiona hapa ni kwamba kuna asilimia fulani ya ukweli ndani yake, na kuna watu wanafaidika sana na hii inayoonekana kuwa ni dhuluma Kwanza tutambue wazi kuwa suala la udini, ukanda na jinsia ni malalamiko makubwa sana ambayo kila mara...
  5. Msal

    Kikosi kazi cha kupambana na Ujangili kinatumika kisiasa!?

    Muuliza swali kwa Mheshimiwa Rais aliweka wazi kabisa kuwa wanasiasa na wafugaji ndiyo waharibifu wakubwa wa hifadhi zetu. Hapa moja kwa moja alikusudia kuwa wafugaji wanaharibu uoto wa asili wa hifadhi kwa kulisha mifugo yao, huku wanasiasa wakishika nafasi ya unahodha kwenye timu ya ujangili...
  6. Msal

    Kikosi kazi cha kupambana na Ujangili kinatumika kisiasa!?

    kwa ufupi hiki kikosi cha kupambana na ujangili na TANAPA yote kwa ujumla wake inapaswa kuchunguzwa. Malalamiko ni mengi sana dhidi yao, kwanza ndiyo wahusika wakubwa wa wizi wa nyara zetu na wanawatupia wanyonge mzigo wa dhuluma zao Wakubwa wa hawa wahusika naomba muyafanyie kazi malalamiko...
  7. Msal

    Kikosi kazi cha kupambana na Ujangili kinatumika kisiasa!?

    Mi nadhani wewe mtoa post huishi Tanzania na hapo mwanzo ulikuwa hufuatilii yanayoendelea hapa nchini. Nasema hivi kwakuwa nakuona ni mtu wa ajabu sana unaposhangaa idara za serikali kutumiwa kwa maslahi ya mtu au kikundi kidogo cha watu; na wakati mwingine hata idara nyeti zaidi hufanya kazi...
  8. Msal

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    TANAPA MUMEITIA AIBU SERIKALI NA MUMEMTIA AIBU RAIS WETU ANAYEPIGANIA HAKI ZA WANYONGE. NI JAMBO LA KUSTAAJABISHA KUONA CHOMBO CHA DOLA NA MUHIMILI NYETI KAMA TANAPA KUINGILIA CHUKI ZA KISIASA, HIVI SIASA NA WANYAMA PORI MBONA NI VITU VIWILI TOFAUTI? MIUJIZA KAMA HII HAIWEZI TOKEA POPOTE...
  9. Msal

    Rais John Magufuli, Masters fake zipo NSSF

    Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata...
  10. Msal

    Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Wengi wamepigwa na butwaa lakini huo ndiyo uhalisia wa mambo
  11. Msal

    Magufuli akataa ombi la Kinana kujiuzulu, amteua kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM

    Je Ngosha alipokuwa anakataa kukabidhiwa Uenyekiti alikuwa anakimbia kujibu nini? Kinana anahitaji kupumzika, amefanya kazi kubwa sana kwa maslahi ya Taifa na Chama
  12. Msal

    Magufuli akataa ombi la Kinana kujiuzulu, amteua kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM

    Umesema kweli Ndugu yangu kwa maana upanuzi wa kiwanja cha ndege Dodoma ni kupambana na wapinzani kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka mitano ni kupambana na upinzani kufuta ada shule ya msingi na sekondari ni kupambana na upinzani Kufukuza watumishi hewa serikalini ni kupambana na...
  13. Msal

    Magufuli akataa ombi la Kinana kujiuzulu, amteua kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM

    Mabadiliko ndani ya Chama hayawezi kufanywa ndani ya siku moja, tena kwa mtu aliyepewa nafasi ya Mwenyekiti leo leo. Chama tawala ndiyo serikali tawala, yahitaji busara nyingi sana kukiendesha. Nyie wa vyama vya uchochoroni mnaweza tu kuamua chochote kwa muda wowote kwakua maamuzi yenu hayagusi...
  14. Msal

    Magufuli akataa ombi la Kinana kujiuzulu, amteua kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM

    Kwakuwa Sheria inamruhusu kufanya hivyo na kwa kutambua umuhimu na utendaji mkubwa wa Komred Kinana basi hatuna budi kukubaliana na fikra pevu za Mwenyekiti. Hatuna budi kumpongeza Mzee Kinana kwa uhodari na ushupavu wake pamoja na mchango wake mkubwa katika kukipitisha Chama kwenye wakati...
Back
Top Bottom