Hao ni matapeli kama walivyo matapeli wengine, kwanza wanakuhadaa usajili majina, namba ya NIDA, ukimaliza kujaza wanakuletea ujumbe kuwa, umekidhi vigezo vya kupata mkopo Tsh 250,000/- bila riba, na kupata hiyo pesa unapaswa uwatumie Tsh,5000 ya fomu, wanakupa namba ya simu utakayo...