Najua Ukweli huwa unatabia ya Kuumiza masikio na bongo za wahusika. Mkuu naona unatoka povu sana. Lakini kwa kifupi tu yaliyoandikwa humu ni katika hali ya kutafuta ukweli na uhalali wa umiliki wa mali hizo kwa ndugu yetu Denis Wairaha. Hata kama amechuku mkopo benki kw ushawishi kama wengi...
Habari Wana JamiiForum na Wasabato wote Tanzania!
Kwa neema yake Mungu naomba tushirikiane na kuwaza kwa pamoja kama wakristo wano heshimu neno la Mungu kuhusiana na ubadhirifu wa unaofanywa na Mweka Hazina wa Adventist Tanzania Union Mission Ndugu Denis Wairaha.
Ndugu Denisi Wairaha, ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.