Recent content by msa4

  1. M

    JamiiForums Tanzania TBS kulikoni?

    Hawa wadau wanakawaida ya kukaa muda mrefu bila kuinterview! As if wanahitaji watu ambao nafasi zao zina watu! Ila cha msingi ni kuwavutia subira tu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania My gift to the unemployed:"The Hidden Job market"

    that's real!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Kuhusu CFAO motors na TBS

    For sure bilabila mpaka leo sijui tuwasikilizie wadau pengine kuna mwenye update!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira

    hata mimi sifahamu ngoja tusikilizie wadau waliokuwa na ufahamu watatuambiaje!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya kupangiwa kituo cha kazi

    kakomae mkuu life unaliona lilivyo! waoneshe uwezo wako kijana!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unapoulizwa Uzoefu wako

    uzoefu wako kama mwanachuo/fresher ni training zako zile ambazo ulizifanya ukiwa chuo zaidi ya hapo hakuna!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa interview 2, siku moja

    kuna baadhi ya mashirika yanatoa siku mbili kuinterview but mengi yao huwa ni siku moja tu! kwa hiyo ni choice yako kujua wapi kuna maslahi zaidi zaaidi ya hapo ujue kama imekula kwako man!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Updates..PASADA NA TOTAL TANZANIA

    kiukweli hata mie kuna mdau wangu alikuwa anasikilizia bado hajapata taarifa yoyote mpaka sasa!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kukosa nafasi hata ya ku-volunteer

    ukweli ni kwamba usipokua mfuatiliaji mambo yanakua mazito! ninachokuomba usikate tamaa fuatilia na pia volunteer usiombe sehemu moja kwani ni wachache wanaokubali jitahidi kupeleka sehemu mbalimbali najua ipo sehemu moja wapo mungu atakupokelesha!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi naombeni msaada

    ofcoz ni challenj lakini usikate tamaa mkuu kuwa mvumilivu! pia jitume kwenye kazi nyingine ambazo haziitaji elimu huku ukiiangalia bahati yako! ila kiufupi mtaani ndio kilivyo!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Temporary job for Science Teacher

    unapatikana wapi tujue? pcm man!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kweli elimu ndiyo kila kitu

    sure! dunia imechenji kila ajira elimu yako umeishia wapi? sasa karata za tusiosomwa hazipatikani tena! inatisha jamani tukumbuke watanzania wote ni ndugu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea upande wa Procurement au store

    ofcoz ni challenge, its better to help her! god will see yu
Back
Top Bottom