Recent content by mrwallpapertz

  1. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Work done.. sebule imeshine. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Kazi kazi kwa mteja mapema leo.. [emoji123][emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Ofisi ipo magomeni kiongoz.. ila kazi popote dar Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Kazi kazi.. 0713799522 [emoji123][emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Wallpaper zipo za aina nyingi sanaa na za watoto pia (cartoons) 3d wallpaper Stone Block Pattern Flowers Cartoons
  6. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Kwa ukuta mmoja wa upana wa futi 10 mpaka 12 kutoka kushoto kwenda kulia zinaingia roller mbili
  7. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Urefu wa wallpaper kwa roller moja ni mita 10 na upana ni sm 53..
  8. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Ufundi ni 15,000 kwa roller moja mkuu..
  9. mrwallpapertz

    Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

    Nabandika 3D wallpaper majumbani na maofisini.. Kwa ustadi na usafi wa hali juu.. Bei ya wallpaper kwa roll ni 35,000 gundi yake ni 10,000.. Ina uwezo wa kubandika rollers 4.. 0713799522
  10. mrwallpapertz

    Hii Video ya Eddy Kenzo iliyofanywa na HansCanna.. Shauri Yako.

    Bonge moja la nyimbo plus BonGe la video.. Kilichofanyika ni ubunifu wa hali ya juu wa director kwa kuweka vionjo vya kipwani..
Back
Top Bottom