Recent content by mruturutu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yeyote Anayetaja Amani Bila Kutaja HAKI, Ni Mnafiki, Tumzomee.

    Mtu atatimiza wajibu wake kama akiamini atapata haki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuichangia CHADEMA lakini!

    Mnatozwa kodi ambayo ni michango yenu na inatumika vibaya na hamlalamki.Chama kinaomba kuchangiwa ili kukiwezesha kutoa elimu kwa wananchi ili wapate ufahamu wa jinsi nchi yenu inavyofanya matumizi mabaya ya michango yenu mnalalamika vipinyie watanzania?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya wa CHADEMA hauna mpango mkakati wakujitegemea kiuchumi wala kujiendesha bila kuomba pesa kwa wananchi masikini

    Kwani serikali inajiendesha kwa kufanya biashra gani,kodi zenu ni michango pia au kwakuwa imepewa jina kodi,tozo nk
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kupisha machungu ya ndugu kupotezwa au kuuawa kwa sababu za kisiasa kwanini tusikubaliane walioko madarakani wadumu milele?

    Sawa lakini wanaotawala wasiwatoze wananchi kodi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wananunua magoli ya mpira huku wagonjwa mkoani Ruvuma wilaya ya Tunduru wanabebwa kwenye matenga!

    Mtoa mada anamaanisha pesa ya walipa kodi inatumika billa kuzingatia umuhimu na mfano mmoja wapo ni huo wa mgonjwa kusafirishwa kwa tenga na umuhimu unapewa goli la mama na mifano ipo mingi . . .
Back
Top Bottom