tabia ya kudharau watu ni very tru. Hata kwa wanaume ila sie Wanawake tumezidi. mbaya zaidi tunawazarau zaidi Wanawake wenzetu tukiona wako chini yetu kimaisha na kujifanya tumewasahau. Ila kwenye hilo la namba ya simu Kama ushajua hivo nawe unaendelea kuwaomba za nini? Potezea akijiskia kukupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.