Recent content by MRS JUMA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    doctor, naomba kuuliza kwan ugonjwa wowote wa kurithi hautibiki?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukakamaa

    Ni mtoto wa kwanza na nilijifungua nikiwa na miaka 24
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukakamaa

    sawa shukran na ubarikiwe na mungu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukakamaa

    sawa iyo kidonge kimoja ni kwa umri wowote? maana ana miaka minne (4)
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukakamaa

    sawa nashukuru mwaya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukakamaa

    h alipewa pia Neurotone si nayo ndo hizo vitamin pia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukakamaa

    mwaya nilishamuona ndo wanaompa hizi carbazepine na pia alipimwa CT scan, EEG wakasema yuko sawa ndo wakasema wamwanzishie tu kwanza hizi dawa za degedege waone kama iyo hali itaisha lakin ndo ivyo sasa kashameza carbamazepine mwezi mzima bila mafanikio
  8. M

  9. M

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

    JE, hi habatsouda unaweza kutumia wakati unameza dawa za hospitali?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukakamaa

    habar zenu wapendwa, naomba kuuliza mtoto wangu kuna jinsi ananyoosha miguu kwa kuikakamaza na answet anafanya ivo kwa sekunde chache na kuacha sasa imechukua almost 2 years, kapewa dawa za degedege kwa mwezi mzima lakni hakuna mabadiliko dawa zenyewe ni (carbamazepine)
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

    JAMAN NAOMBA KUULIZA MTOTO KUKAKAMAZA MIGUU KWA SEKUNDE CHACHE NA KUACHA SHIDA INAKUWA NI NINI? MAANA HOSPITAL ALIPEWA DAWA ZA DEGEDEGE CARBAMAZEPINE MWEZI MZMA LAKN IYO HALI HAIISHI
Back
Top Bottom