Recent content by MRS GINOLA

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hili alilosema babu kumbe kuna mengi tunakosea sana kwa wanawake wa siku hizi.na ndo chanzo cha kutokuheshimika

    HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kuvutishwa Ganja ili Binti nimgegede ki Gangster. Siwezi isahau Dhahma yake

    nikisoma post zako hucheka saana
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wakwe mtuhurumie na sisi tumezaliwa kama mlivyowazaa waume zetu

    NILIWAHI KUANDIKA UZI KUHUSU KUPEANA UZOEFU WA KUISHI NA MAMA MKWE ALL IN ALL TUKUBALI TUKATAE KUKAA PAMOJA MAMA MKWE BABA MKWE MAWIFI MASHEMEGI MUME MKE NI CHANGAMOTO KUBWA INAHITAJI UVUMILIVU WA HALI YA JUU VINGINEVYO UTAKONDA UWE KAMA MOJA
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    asanteni sana wakuu kwa michango yenu wengi wenu kwa kweli munawaza kile ninachokiwaza mm na wale wanaoona kuwa mm pesa yangu ni yangu si kweli kwa kua wakati anahangaika kumuhifadhi mama mm nilijitoa sana ktk kuhakikisha mahitaji yetu hapo nyumabni yanakamilika na support kubwa ninatoa ktk...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    mm ndio ninavowaza nipo na mume wangu bega kwa bega kuna kaka yake ambae alikataa kushiriki kumjengea mama yao watu walimuona ni katili lakini kwa kweli ameshajenga kwake yupo na familia yake wapo nafuraha na hakukuwa na ugomvi wowte baada ya kuwaambia ukweli kuwa mm naanza kujijenga mm na...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    hapo nina chumba tuu jiko pata sote sebule pata sote
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    asante sana mkuu kwa kweli ninayoyafikiria ndio ninayoayaona ktk jamii nyingi ss ni waswahili hizi vitu vipo isijekufikia mnatengana kwa sababu ya ndugu wanaotuzunguka maana utavumilia mwishowe unaona na mm nawalipukia mnaanza kutushiana maneno
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    kwa kweli umeongea kitu cha ukweli ambacho hiko nina kifikiria sitaki maisha ya kujiact nataka niishi nikiwa na uhuru kama nikiwa kwangu na mume wangu itabidi ifikie hatua ukubaliane na viu ambavyo ukiwa wewe kama wewe hutovitaka lakini kwa kua upo under one roof na wakwe na mawifi ni lazima...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    kinachompa nguvu ya kwenda huko kwao ni kuwa aliijenga hiyo nyumba yeye mwenyewe but haijesha isipokua chumba chake kipo
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    kabisa yaani mm ninawaza hivi hivi ila ki ukweli tatizo ss waislamu bwana ukitoka ukienda kuishi bila ya ruhusa ya mume hapo umefanya kosa kubwa sana na hiki ndio kinachonirudisha nyuma ila ningekua nimeshahamia zamani na ningekua nimeshaimaliza finishing zote si mnajua wanaume wa kiafrica...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    asante sana mm binafsi nimejenga nyumba ina 3 bedrooms but haina umeme mm nipo tayari kwenda tukaishi kwenye hii nyumba yangu lakini mume wangu hataki kwa kua anadai ni mbali sana usafiri tunao ila hayupo tayari kuishi ktk nyumba niliyoijenga anataka tukaishi kwao kwa kua hiyo nyumba ya kwao...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    huu ni utaratibu ambao tunajiwekea ktk family kuwa week end baada ya mihangaiko ya wiki nzima tunatumia muda mwingi kupumzika then tanaendelea na ratiba za kila siku na nimetolea tu mfano na hata ikiwa nitalala hadi saa zote ni kuwa tayari huyu mume wangu anaelewa mazingira halisi ya kazi wiki...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    SAPOTI NATOA sana na hata hili lilipokuja mm nikasema nitalipa mm hiyo kodi
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    Ni nyumba ya kwake mwanamme lakini alimuweka mama
Back
Top Bottom