Recent content by mropper imran

  1. M

    Majina kwa waliofanikiwa kupata uhamisho kidato cha tano kwa njia ya wizara

    anayefahamu namna ya kuangalia majina ya kidato cha tano kwa walioomba uhamisho wa juu kwa juu ( kwa njia ya wizara)
  2. M

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    bado kimya...cjajua hatima yake nini!
  3. M

    Kuhusu UDOM

    ahsanteni sana kwa ushauri wenu..
  4. M

    Kuhusu UDOM

    ndugu wanajamii forum naomba kuuliza! Mimi nimechaguliwa udom Bsc. with education. Je, ni lazima nilipe gharama zote ndio nisajiliwe chuoni? na kama jibu ndiyo, inakuwaje kwa m2 asiyekuwa na gharama hizo na anategemea tu mkopo? Mi mkopo wamenipa 100%
  5. M

    Admission letter za UDOM

    wakubwa naomba kuuliza. Mimi nmechaguliwa udom bsc. with eductn! je, ni lazima nilipe gharama zote kabla ya kusajiliwa? na kama jibu ndiyo inakuwaje kwa m2 ambaye hizo gharama hana na anategemea tu mkopo? mkopo wamenipa 100%...
  6. M

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Mimi nimepangiwa chuo ambacho mwisho wa kulipa direct cost ni tarehe 15! Tatizo ni kwamba hichi kiasi bado Sina labda mpaka tr. 17 hivi! Je, nitakubaliwa?
Back
Top Bottom