Recent content by MrLogout

  1. MrLogout

    Biashara ya saluni ya kiume

    Shukrani kwa ushauri, ila kama ujuavyo wengi tunafungua biashara kwa lengo la kuongeza vyanzo vya mapato. Na huenda mtu ukawa unafanya kazi sehemu ila unaamua kufungua biashara siyo kwa lengo la kushinda hapo hapo ila kwa lengo la kwamba na yenyewe iwe ni sehemu ya kuongoza chochote kitu...
  2. MrLogout

    Biashara ya saluni ya kiume

    Habari wakuu, naamini mko salama kabisa. Naomba msaada wa kimawazo na ushauri katika kufungua / kufanya biashara ya Barbershop (Saloon ya kiume) kiukweli sijawahi fanya kabisa hii biashara hapo awali lakini ninapenda niifanye, ila kama mjuavyo biashara yoyote ile kabla haujaifanya ni vyema...
Back
Top Bottom