Recent content by Mrengwa wa kulia

  1. Mrengwa wa kulia

    Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Makamnda 22 dead. Wanasayans 36. Wamekufa 680+ na 3993 wameachwa na vilema ndani ya siku 12 ya mapigano hivi ulikumbuka hata kutoa rambi rambi mkuu
  2. Mrengwa wa kulia

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Iran. Wanasayans 12+ dead Israel. Wanasayans 0 dead Iran . Makamanda wakijesh 21 dead Israel. Kamanda mmoja kajeruhiwa Irani. Maeneo yaliyo pigwa. Vituo vya kijeshi 49 Israel. Kituo cha utafit wa sayan 1 Irani. Hivadhi za silaha 89 Israel. Hifadhi za silaha 0 Iran ndege za kivita ( f4 nk) 67...
  3. Mrengwa wa kulia

    Waziri wa Ulinzi wa Israel: Nimeiagiza IDF kujibu kwa nguvu kwa ukiukaji wa Iran wa usitishaji mapigano kwa mashambulizi makali dhidi yao

    Mtukakupiga makamanda wako 18. Wanasayansi 12 vituo vya kijeshi. 48, vituo vya nyuklia 3. Maghala ya silaha 21. halafu wakati ndo unajipata mtu anakuja from no where anagombelezea. Haya maumiv yaskie tu usiombe yakutokee
  4. Mrengwa wa kulia

    Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Basi tuseme iran imepigwa lakini viwango vya kugalagala bado hajafikia ili twende sawa. Pia Kama izrel imezuia media wew umejuaje kama pamekua kama gaza. Au nawew unaangalia clips za Ai za facebook...!
  5. Mrengwa wa kulia

    Biden akiangalia Iran ilivyotepeta kirahisi na hakuna WWIII atakuwa anajuta sana kukubali kutishwa na Putin uvamizi wa Ukraine

    Wamekumezesha vibaya mashekhe zilizo pigwa ni mitambo ya kurutubisha na uraniam zilikua hazijarutubishwa sana bado.... uraniam hadi zilete mionz ni hadi zinaporutubishwa kuanzia 70%
  6. Mrengwa wa kulia

    Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Kughalaghala na kulia huo ni kumuonesha adui udhaif wako hua tulikua tunaenda kulilia chumbani.
  7. Mrengwa wa kulia

    US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    Unafkiri ni magunia ya mchele ukitaka kuhamisha unabeba kichwanu unapeleka. Watu wanafatilia kila siku kuona kama zimehamishwa au lah. Yan ujasusi wa mossad uweze kuona wanasansi wapo wapi. Na makamanda wapo wapi na kuwaua halaf washindwe kuona mzigo wa uraniam na mitambo yake ikihamishwa????
  8. Mrengwa wa kulia

    Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Nakumbuka nilivo kua mtoto. Kwenye ugomvi mwenzio akikupiga na kitu kizito kika kuingia hadi kikalia paaa. Wenzio wote wakaona. Lakini unabaki kumzomea alie kupiga kua Hiloooo sijaumia. Hiloo. Lengo ni kumfanya aliekupiga aonekane boya mbele za watu ili kuendelea kutunza heshima yako... Hata...
  9. Mrengwa wa kulia

    Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

    Kwa kuwa watu wenye hatia hatuna uwezo wa kuwagusa.... acha tudeal na hizi soft targeet shekhe!!... ikishindikana zaidi tunajivika mabomu tu...
  10. Mrengwa wa kulia

    Hizi ndizo nchi zenye ndege nyingi za kivita duniani

    Nawasubir wakitoka kuswali hua hawatakag elewa Mtu. Na viclip vyao vya Ai. Please iran forgive us.
  11. Mrengwa wa kulia

    Hizi ndizo nchi zenye ndege nyingi za kivita duniani

    Kama israel anavyo tamba kwa mnyonge wake Irani
Back
Top Bottom