Ila wakuu kupitia jamvi hli yaani mmenisaidi sana maana kuna fundi alishanipiga kwenye msingi na kunyanyua boma "4mil", sasa iv alitaka kunipiga pesa mingi kwenye rough
Ameniambia kupiga rough nyumba ya vyumba 3 sebule ,Dinning, jiko na stoo 1mil
Lakini kupitia jamvi hili nimepata fundi wa laki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.