Kama internet haiwafikii hao customers na na wanaofikiwa na Huduma ni low speed hizo e-market na epayment zitafanyikaje, we jiylize kwanza watanzania wangapi wanatumia hizo huduma za Mtandao kibiashara, tofauti Na kuperuzi tiktok kabla hujawaza hayo makubwa je hayamadogo yanatimizwa. Kwako mkuu
Utangulizi:
Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
Utangulizi
Kila teknolojia huanzia na ndoto, fikra bunifu za kubadilisha dunia. Kwa Tanzania, ndoto hiyo ina umuhimu wa kipekee katika kujenga taifa imara, linalowezeshwa na teknolojia ya kisasa. Hii ndio "TANZANIA TUITAKAYO."
Nyakati hizi za kidigitali, nchi yoyote isiyokubali mabadiliko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.