Recent content by Mr Unknowns

  1. M

    Wanafunzi wanaosoma Sayansi ya Siasa (Political Science) UDSM walaani utekaji na mauaji

    Ni wajibu wa wanataaluma kuonesha mfano wa kulalani na kukemea suala hili, Kwa sababu suala la utekaji si la kisiasa tu Bali ni la kijamii. Hongereni Sana DUPSA
  2. M

    Jumuiya ya Wanafunzi UDSM yapiga marufuku wanafunzi kutoa taarifa ambazo hawana uhakika nazo, wanaharibu taswira ya chuo

    Tupe wewe taarifa yako ya Ukweli? DARUSO imekuwa na tabia ya kutoa taarifa za Uongo na ushahidi upo.
  3. M

    Jumuiya ya Wanafunzi UDSM yapiga marufuku wanafunzi kutoa taarifa ambazo hawana uhakika nazo, wanaharibu taswira ya chuo

    Hawa Viongozi wa UDSM hawajui kwamba kila Mtu ana Hali ya kutoka na kupokea taarifa ?? Brainwashed kabisa.
Back
Top Bottom