Habari wana JF wenzangu,kiukweli raisi magufuli inatakiwa aliamkie jambo hili kabla ajachelewa ishu ni ndogo sana kumalizana na vyama vya upinzani na tofauti zao kabla damu za watu hazijamwagika pasipo kuwa na msingi....
Sisi wote ni watanzania tuweke uvyama pembeni kwa maana hakuna anaependa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.