Kwa kweli mimi kama mdau wa elimu inaniuma sana ninapoona kuna tasisi kubwa kama TCU kushindwa kusimamia vyuo kama kweli ina mandate kwa nini isilazimishe vyuo ambavyo vimepewa majina ili vitangaze lakn mpaka leo hawajatangaza selection za degree mf Sua, Mzumbe n.k! La hasha! Mwanafunzi mfano...
Mkuu RPL walishafanya mitihani na wakatoa matokeo na kutaka waliofaulu kuomba vyuo nafikiri waweza kuwa umechelewa.japo kuwapigia mara kwa mara vema watapokea 2 cm
Hawa jamaa NACTE kwa kweli wangefanya kama TCU kuandika assurence za selection kuliko kunyamaza tu kama sasa wanatuweka Roho juu watu wa Equiualent, Maana profile zipo vile2 wameongeza muda mpaka kesho na sehem ya Uhitaji yaani Capacity mpaka kozi zingne wameweka mpaka Negative no kwa maana...
kwani mkuu option kama zipi mkuu maana mie dip ya kilimo na nimeomba coz zote za mbili sua na udsm na zote ni science na matokeo ya Dip ni Second Class.ushaur zaidi
asante Irumba hicho kipengele bwana wadai tunawaomba coments zao mi diploma 2011 kurudi nyuma tumekata tamaa wengine wanasema ni zaidi ya miaka 3 kurudi nyuma da! Mpaka michanganyo!
Waku labda mi cijaelewa masharti ya bodi ya mikopo elimu ya juu 2014/2015 kuna kipengele kinasema aplicants must be completed diploma more than three year ago wana maana gan? Je watu wenye sifa hapo ni wale waliomalza muda gan? Naomba msaada wenu..
Waku labda mi cijaelewa masharti ya bodi ya mikopo elimu ya juu 2014/2015 kuna kipengele kinasema aplicants must be completed diploma more than three year ago wana maana gan? Je watu wenye sifa hapo ni wale waliomalza muda gan? Naomba msaada wenu.
Kipo kimoja tu East Africa and Central ambacho ni Chuo cha kilimo Igurus Mbeya zaman Nyegezi ambapo saiz eneo lile linatumiwa na Saut Mwanza. Lakn uwe na ufaulu wa masomo ya science na chuo kipo km 20 toka Mbeya mjini lakn uyole hawana koz hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.