Recent content by Mr p_

  1. Mr p_

    Tukumbushane maneno haya kuhusu maisha

    Denis mpagaze[emoji2] mhenga wa Karne ya 21
  2. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    https://chat.whatsapp.com/LY7c50nSQLfGAj5iYKQNXV
  3. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Hakuna sehemu niliyosema Kuna mti wa kukupa utajiri Nimezungumzia miti kwenye nyota tu. Sio vingine
  4. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Moja ya kigezo Cha kujua uwajibikaji Ni kufahamu communication activity yake... Sio kwamba muda wangu wote natumia JF na jimejiunga juzi baada ya hapa utoniona Tena.. So unaweza kuniamini au hapana... Sikulazimishi
  5. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Sasa ndugu yangu! Chato kubwa Sana.. pia Kuna rafiki zangu Sana huko! Ndio maana nakuuliza ili Kama Upo karibu na watu wangu iwe Rahisi. Nimezunguka TANZANIa nzima... Tangu mwaka 2006 nikiwa na marehemu Babu yangu! Ndio maana nakuuliza
  6. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Chato sehemu gani?
  7. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Nitumie Namba yako PM nitakutafuta! Ila kuwa unanitumia Mara kwa Mara Mana Nina watu wengi Sana PM unaweza tuma message now ikawa ya 15. Ila usijari nipo kwenye mpango wa kuandaa kikundi Cha WhatsApp.. soon kitakuwa tayari
  8. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Usijari wewe upo mkoa gani?
  9. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Hao wasio weza kufanya hayo Ni wachawi na wanaotumia majini kuroga na kurudishana nyuma... Mimi natumia majini miti na mizimu kutoa tiba ukija najua nitumie Nini kukusaidia... Au niaze na wewe leo??? Baada ya hapo tuwe marafiki
  10. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Ukisema wanaotumia majini maana yake Ni hivi... Mfano Mimi natumia majini, mizimu na vingine vingi kwenye kutibu watu. . Ila wapo wanaotumia majini kuroga watu! Sasa Nauliza wanaotumia majini kutibu au kuroga watu?
  11. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Sifanyi biashara! Natoa huduma! Nimewai kwenda! Nchi nyingi za kiarabu kwa Sababu ya uaminifu wangu! So suala la hela kwangu uja baadae Sana.
  12. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Uchawi upo! Mungu Yupo! Vyote vipo! Ukitaka msaada kwa Mungu kuwa mtenda mwema, Pili kuwa na subira.. Ukitaka msaada kwa tiba asili Jenga Imani... Maamuzi ni yako!! Ila Kama huamini nitukane hapa afu baada ya nusu SAA nakupa namba yangu kesho upande treni nije kukutibu.. I'm serious.
  13. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Wanaotumia majini kwenye Nini??? Tiba au uchawi?? Unaponiuliza swali kuwa specific Sana.
  14. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Upo wapi??? Una mke? Unafanya shughuli gani kungiza kipato??
  15. Mr p_

    Kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako

    Kitwiru! Umenikumbusha mbali Sana[emoji2] Kuna mkinga mmoja alipata pesa kwa kafara baadae akakosea MASHART aisee alipata tabu!! Unajua kihistoria kwann kitwiru Kuna mawe mawe makubwa???
Back
Top Bottom