Kikosi Bora ligi ya wanawake
Janeth Shija
Fatma Issa Getty Densa
Violeth Nicholaua
Julietha Singano
Mawete Musolo
Oppah Clement
Aisha Masaka
Amina Bilal
Hao watatu waliobaki nimewatafuta Kila mahali nimewakosa ila nitaketa full squad
Nimemiss kikosi bora ligi ya wanawake sikua mshapu mda ule ila kwa haraka waliongia in
Janeth Shija
Aisha masaka
Amina Bilal.
Oppah clement
Stumai
Mawete Musolo
Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda
1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc
2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc
3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc
4.Kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess
5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.