Recent content by Mr Meco

  1. M

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Nakufuatilia ntaalam kwa makini sana, endelea kutuelimisha.
  2. M

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Ok mtaalam alinishauli niangalie distributor, wengine wanapenda kutoa ushauli kwa kuongea/kuhoji ana kwa ana ndo maana aliniambia nimpigie kwa lengo nzuri tu mtaalam.
  3. M

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Sema wamenishauri vingi sijui nianze na nn [emoji38] mtaalam.
  4. M

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Ushauri wa wataalam nimezingatia sana mkuu na nitafanyia kazi, throttle n nn hii mtaalam.
  5. M

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Na hiyo ya mis niliigundua wakati napanda milima ile ya kutoka Moro kuja Dom
  6. M

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Sikuwa na namna na nilidhani itakuwa sawa tu lakn ikawa bila bila
  7. M

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Katika kuhangaika nilidhani vinasababisha tatizo nikabadili.
  8. M

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Kwa uelewa mzee, kwamba vikizingua taa yao ni moja, usitucheke mkuu tuelekeze
Back
Top Bottom