CHADEMA inadhihirisha kwamba walikua wanafanya siasa ya kinafiki kwa kutoa sera zao wakati ndani ya chama wananafikiana sasa tusubiri 2014 kweny chaguzi za serikali za mitaa wanakoelekea ni kufifia kisiasa na mpaka 2015 nguvu ya wao kupambana na CCM itakua ndogo sana
Sent from my BlackBerry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.