Recent content by Mr kaunga

  1. Mr kaunga

    Right duty driver position

    Sawa ndugu yangu nisaidie kunitumia iyo no: yake then nitafanya kama ulivyo niambia.
  2. Mr kaunga

    Right duty driver position

    Kweli kabisa kaka sasa ndio naamua kujiongeza kheri kwenye wengi unaweza saidiwa
  3. Mr kaunga

    Right duty driver position

    Kaka washkaji tulikutana chuo sasa siunajua mambo ya ahadi subiri kuna mtu nitakuunganisha nae atimayake jii
  4. Mr kaunga

    Right duty driver position

    Haswa binafsi ila ila kazi bila kushikwa mkono au kuinunua ni ngum kupata maana naombaga sana ata kwenye interview auitwi na sehem nyingi situmi kwakua wanatakaga 4m4 certificate
  5. Mr kaunga

    Right duty driver position

    Siku fanikiwa kupata wastani wa kupata walau cheti ndugu yangu
  6. Mr kaunga

    Right duty driver position

    Hahaha ndio hivyo mkuu ila wapo washkaji wamepita bila 4m 4 walinunua nafasi sijui walishikwa mikono sijui muhim nguvu ya mtu iwepo.
  7. Mr kaunga

    Right duty driver position

    Ndio nnaombaga ila kazi bila kushikwa mkono ni ngum kupata iwe bahati nasibu yako maana nafasi nyingi za madereva zikitoka ni 3 au 1 na wengi tunaombaga ingawa changamoto kubwa ni cheti cha form four mimi nna leaving certificate.
  8. Mr kaunga

    Right duty driver position

    Habari zenu wana familia ya jamii Forums ndugu yenu nna shida naimani naweza pata msaada kupitia nyinyi mimi kitaaluma ni dereva na nina driving licence yenye daraja A B C1 C2 C3 D E na nilisoma NIT mwaka 2013 kozi ya ADVANCED DRIVING GRADE TWO (VIP) Ndugu zangu naomba mnisaidie kupata kazi...
Back
Top Bottom